Ikiwa ni takriban wiki mbili tangu akutwe na hatia katika mauaji ya Mmarekani Mweusi George Floyd, Derek Chauvin ameomba kesi yake kusikilizwa upya. Mwanasheria wa…
Rais wa Marekani Joe Biden alitangaza lengo jipya la chanjo ya kitaifa ya COVID-19 la asilimia 70 ya Wamarekani la kupokea chanjo moja ifikapo Julai…
Mamlaka ya Dawa ya Marekani inajiandaa kuidhinisha mapema wiki ijayo chanjo dhidi ya Corona iliyotengenezwa na maabara ya Pfizer na BioNTech kwa vijana wenye umri…
Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) imesitisha safari zake za ndege kati ya Dar es salaam na Mumbai (India) kuanzia May 04,2021 hadi itakapotolewa taarifa nyingine…
Mwanamke mmoja nchini Mali amejifungua watoto tisa katika hali ambayo sio ya kawaida. Halima Cisse, 25, alijifungua watoto wa kike watano na wavulana wanne katika…
Kundi la nchi saba tajiri ulimwenguni limekamilisha mkutano wake wa kwanza wa ana kwa ana katika zaidi ya miaka miwili, likiishutumu China kwa ukiukaji wa…
Bodi ya usimamizi ya Facebook siku ya Jumatano ilishikilia uamuzi wake wa kupiga marufuku Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump kutuma maoni kwenye akaunti…
Halmashauri Kuu ya Umoja wa Ulaya imependekeza, kwamba raia wa kigeni waliochanjwa kikamilifu dhidi ya COVID-19 na wale wanaowasili kutoka mataifa yenye hali nzuri waruhusiwe…
Rais Joe Biden ametangaza, baada ya kukosolewa vikali, kuwa anaongeza idadi ya juu ya wakimbizi wanaoruhusiwa kuingia Marekani mwaka huu hadi 62,500 — kutoka idadi…
Rais wa DRC Felix Tshisekedi amesema ni wakati sasa kwa raia wa nchi hiyo kutoa ushirikiano kwa jeshi na serikali ili kumaliza tatizo la usalama…